قَالُواْ بَل لَّمۡ تَكُونُواْ مُؤۡمِنِينَ ٢٩
Qālū bal lam takūnū mu'minīn
Watasema (wakubwa): Bali nyinyi wenyewe hamkuwa Waumini. 29
Maelezo ya chini
29 Watasema walio jipa ukubwa: Sisi hatukukugeuzeni njia, lakini nyinyi wenyewe mliikataa Imani, na mkaipuuza kwa khiari yenu.