Surat As-Saffat, aya 165

37:165

وَإِنَّا لَنَحۡنُ ٱلصَّآفُّونَ ١٦٥

Wa innā lanahnus-sāffūn

Na hakika bila ya shaka sisi ndio wajipangao safu. 165

Maelezo ya chini

165 Na sisi tumejipanga safu wenyewe katika misimamo ya kutumika daima.