Surat An-Nazi'at, aya 6

79:6

يَوۡمَ تَرۡجُفُ ٱلرَّاجِفَةُ ٦

Yawma tarjufur-rājifah

Siku kitapo tetemeka cha kutetemeka! 6

Maelezo ya chini

6 Bila ya shaka Saa ya Kiyama itafika; hiyo siku ambayo mpulizo wa mwanzo wa barugumu utavitikisa viumbe vyote,