ٱذۡهَب بِّكِتَٰبِي هَٰذَا فَأَلۡقِهۡ إِلَيۡهِمۡ ثُمَّ تَوَلَّ عَنۡهُمۡ فَٱنظُرۡ مَاذَا يَرۡجِعُونَ ٢٨
Idhhab bikitābī hādhā fa alqih ilayhim thumma tawalla 'anhum fanzur mādhā yarji'ūn
Nenda na barua yangu hii na uwafikishie, kisha waache na utazame watarejesha nini. 28
Maelezo ya chini
28 Nenda na barua yangu hii umfikishie yeye na kaumu yake. Kisha jitenge nao ujifiche pahali karibu, uangalie wanarejesheana maneno gani.