Surat An-Naml, aya 29

27:29

قَالَتۡ يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡمَلَؤُاْ إِنِّيٓ أُلۡقِيَ إِلَيَّ كِتَٰبٞ كَرِيمٌ ٢٩

Qālat yā'ayyuhal-mala'u innī ulqiya ilayya kitābun karīm

(Malkia) akasema: Enyi wahishimiwa! Hakika nimeletewa barua tukufu. 29

Maelezo ya chini

29 Barua ikamfikia yule Malkia, naye basi akawakusanya wahishimiwa wa kaumu yake, na halmashauri wake. Naye akasema: Enyi wahishimiwa! Mimi hakika imenifikilia barua yenye shani kuu.