Surat An-Naml, aya 27

27:27

۞ قَالَ سَنَنظُرُ أَصَدَقۡتَ أَمۡ كُنتَ مِنَ ٱلۡكَٰذِبِينَ ٢٧

Qāla sananzuru asadaqta am kunta minal-kādhibīn

Akasema (Sulaiman): Tutatazama umesema kweli au wewe ni miongoni mwa waongo. 27

Maelezo ya chini

27 Sulaiman akasema kumwambia Hud-hud: Tutaichungua khabari yako hii tujue kwamba umesema kweli au wewe ni miongoni mwa waongo.