وَٱلنَّجۡمِ إِذَا هَوَىٰ ١
Wan-najmi idhā hawā
Naapa kwa nyota inapo tua! 1
Maelezo ya chini
1 Ninaapa kwa nyota inapo tua kwa kuchwa, ya kwamba Muhammad hakuiacha Njia iliyo sawa ya kufuata Haki, na wala hakupata kuitakidi upotovu.