Surat An-Najm, aya 2

53:2

مَا ضَلَّ صَاحِبُكُمۡ وَمَا غَوَىٰ ٢

Mā dalla sāhibukum wamā ghawā

Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea. 2

Maelezo ya chini

2 ya kwamba Muhammad hakuiacha Njia iliyo sawa ya kufuata Haki, na wala hakupata kuitakidi upotovu.