Surat An-Nahl, aya 105

16:105

إِنَّمَا يَفۡتَرِي ٱلۡكَذِبَ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِـَٔايَٰتِ ٱللَّهِۖ وَأُوْلَٰٓئِكَ هُمُ ٱلۡكَٰذِبُونَ ١٠٥

Innamā yaftaril-kadhibal-ladhīna lā yu'minūna bi'āyātillāhi wa ulā'ika humul-kādhibūn

Wanao zua uwongo ni wale tu wasio ziamini Ishara za MwenyeziMungu. Na hao ndio waongo. 105

Maelezo ya chini

105 Hakika wanao jasirisha kumzulia Mwenyezi Mungu uwongo ni wale wasio ziamini Ishara za Mwenyezi Mungu, na hao peke yao ndio walio fikilia ukomo wa uwongo. Na wewe, Nabii, si katika watu hao hata wa kutuhumie hivyo.