وَجَعَلۡنَا ٱلنَّهَارَ مَعَاشٗا ١١
Waja'alnan-nahāra ma'āshā
Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha? 11
Maelezo ya chini
11 Na tumeufanya mchana ni wakati wa kuhangaika kwenu kutafuta cha kukusaidieni katika maisha yenu.