Surat An-Naba, aya 10

78:10

وَجَعَلۡنَا ٱلَّيۡلَ لِبَاسٗا ١٠

Waja'alnal-layla libāsā

Na tukaufanya usiku ni nguo? 10

Maelezo ya chini

10 Na tumeufanya usiku ni sitara kwenu kwa kiza kinacho kufunikeni.