Surat Al-Waqi'ah, aya 45

56:45

إِنَّهُمۡ كَانُواْ قَبۡلَ ذَٰلِكَ مُتۡرَفِينَ ٤٥

Innahum kānū qabla dhālika mutrafīn

Hakika hao walikuwa kabla ya haya wakiishi maisha ya anasa. 45

Maelezo ya chini

45 Hakika hao kabla ya haya walikuwa wamepita kiasi katika kustarehea neema za duniani, wamepumbaa hawataki kumt'ii Mwenyezi Mungu Mtukufu.