Surat Al-Waqi'ah, aya 46

56:46

وَكَانُواْ يُصِرُّونَ عَلَى ٱلۡحِنثِ ٱلۡعَظِيمِ ٤٦

Wakānū yusirrūna 'alal-hinthil-'azīm

Na walikuwa wakishikilia kufanya madhambi makubwa, 46

Maelezo ya chini

46 Na walikuwa wameshikilia daima kufanya dhambi kubwa kabisa, kwani waliapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba kabisa Mwenyezi Mungu hatamfufua aliye kufa.