Surat Al-Waqi'ah, aya 44

56:44

لَّا بَارِدٖ وَلَا كَرِيمٍ ٤٤

Llā bāridin walā karīm

Si cha kuburudisha wala kustarehesha. 44

Maelezo ya chini

44 Hapana ubaridi wa kupunguza joto la hewa, wala huruma ya kuwaletea nafuu wanapo vuta pumzi.