Surat Al-Qiyamah, aya 5

75:5

بَلۡ يُرِيدُ ٱلۡإِنسَٰنُ لِيَفۡجُرَ أَمَامَهُۥ ٥

Bal yurīdul-insānu liyafjura amāmah

Lakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake. 5

Maelezo ya chini

5 Hivyo mtu anakanya kufufuliwa? Anataka abakie katika uasi wake katika siku zote zilizo mbakilia katika umri wake ulio salia?