بَلَىٰ قَٰدِرِينَ عَلَىٰٓ أَن نُّسَوِّيَ بَنَانَهُۥ ٤
Balā qādirīna 'alā an nusawwiya banānah
Kwani! Sisi tunaweza hata kuziweka sawa sawa ncha za vidole vyake! 4
Maelezo ya chini
4 Hasha! Sisi tuna uweza wa kuviweka sawa hata vifupa vya vidole vyake vilivyo vurugika, wachilia mbali mafupa yake makubwa makubwa ya mwili wake.