Surat Al-Qiyamah, aya 6

75:6

يَسۡـَٔلُ أَيَّانَ يَوۡمُ ٱلۡقِيَٰمَةِ ٦

Yas'alu ayyāna yawmul-qiyāmah

Anauliza: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama? 6

Maelezo ya chini

6 Anauliza kwa kuona haiwezi kutokea saa ya Kiyama: Lini itakuwa hiyo Siku ya Kiyama?