Surat Al-Qiyamah, aya 31

75:31

فَلَا صَدَّقَ وَلَا صَلَّىٰ ٣١

Falā saddaqa walā sallā

Kwa sababu hakusadiki, wala hakuswali. 31

Maelezo ya chini

31 Binaadamu amekanya kufufuliwa, na kwa hivyo hakumsadiki Mtume wala Qur'ani. Wala hakumtimizia Mwenyezi Mungu faridha za Swala.