إِلَىٰ رَبِّكَ يَوۡمَئِذٍ ٱلۡمَسَاقُ ٣٠
Ilā rabbika yawma'idhinil-masāq
Siku hiyo ndiyo kuchungwa kupelekwa kwa Mola wako Mlezi! 30
Maelezo ya chini
30 Kwa Mola wako Mlezi tu siku hiyo ndio machungio ya waja, ama Peponi au Motoni.