Surat Al-Qiyamah, aya 29

75:29

وَٱلۡتَفَّتِ ٱلسَّاقُ بِٱلسَّاقِ ٢٩

Wal-taffatis-sāqu bis-sāq

Na utapo ambatishwa muundi kwa muundi, 29

Maelezo ya chini

29 Na muundi wa mguu umekwisha ambatana na wa pili wakati wa kutoka roho.