Surat Al-Qiyamah, aya 14

75:14

بَلِ ٱلۡإِنسَٰنُ عَلَىٰ نَفۡسِهِۦ بَصِيرَةٞ ١٤

Balil-insānu 'alā nafsihī basīrah

Bali mtu ni hoja juu ya nafsi yake. 14

Maelezo ya chini

14 Bali mtu yeye mwenyewe ni hoja iliyo wazi juu ya nafsi yake inayo mkazania kwa anayo yatenda na anayo yaacha.