Surat Al-Qamar, aya 6

54:6

فَتَوَلَّ عَنۡهُمۡۘ يَوۡمَ يَدۡعُ ٱلدَّاعِ إِلَىٰ شَيۡءٖ نُّكُرٍ ٦

Fatawalla 'anhum yawma yad'ud-dā'i ilā shay'in nukur

Basi jiepushe nao. Siku atakapo ita mwitaji kuliendea jambo linalo chusha; . 6

Maelezo ya chini

6 Ewe Muhammad! Waachilie mbali hawa makafiri, nawe ngojea siku atapoita mwitaji wa Mwenyezi Mungu kuitia jambo ambalo nafsi inalichukia mno!