Surat Al-Qamar, aya 7

54:7

خُشَّعًا أَبۡصَٰرُهُمۡ يَخۡرُجُونَ مِنَ ٱلۡأَجۡدَاثِ كَأَنَّهُمۡ جَرَادٞ مُّنتَشِرٞ ٧

Khussha'an absāruhum yakhrujūna minal-ajdāthi ka annahum jarādum muntashir

Macho yao yatainama; watatoka makaburini kama nzige walio tawanyika! 7

Maelezo ya chini

7 Macho yao yatainamia chini kwa wingi wa kitisho, wakitoka makaburini kama kwamba ni nzige walio tawanyika, kwa wingi wao na mbio zao.