وَإِن يَرَوۡاْ ءَايَةٗ يُعۡرِضُواْ وَيَقُولُواْ سِحۡرٞ مُّسۡتَمِرّٞ ٢
Wa in yaraw āyatan yu'ridū wayaqūlū sihrum mustamirr
Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea. 2
Maelezo ya chini
2 Na makafiri wakiona Ishara, yaani muujiza mkubwa, wao hupuuza wakaacha kuuamini. Bali husema: Huu ni uchawi wa daima unaendelea!