Surat Al-Qamar, aya 1

54:1

ٱقۡتَرَبَتِ ٱلسَّاعَةُ وَٱنشَقَّ ٱلۡقَمَرُ ١

Iqtarabatis-sā'atu wanshaqqal-qamar

Saa imekaribia, na mwezi umepasuka! 1

Maelezo ya chini

1 Kiyama kimekaribia na mwezi utapasuka hapana hivi wala hivi.