Surat Al-Qamar, aya 18

54:18

كَذَّبَتۡ عَادٞ فَكَيۡفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ١٨

Kaddhabat 'ādun fakayfa kāna 'adhābī wanudhur

Kina A'di walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu? 18

Maelezo ya chini

18 Kina A'di walimkadhibisha Mtume wao Hudi. Je, hali gani adhabu yangu na onyo langu lilikuwa kwa wendao kinyume!