إِنَّآ أَرۡسَلۡنَا عَلَيۡهِمۡ رِيحٗا صَرۡصَرٗا فِي يَوۡمِ نَحۡسٖ مُّسۡتَمِرّٖ ١٩
Innā arsalnā 'alayhim rīhan sarsaran fī yawmi nahsim mustamirr
Hakika Sisi tuliwapelekea upepo wa kimbunga katika siku korofi mfululizo, 19
Maelezo ya chini
19 Sisi kwa yakini tuliwapatiliza kwa upepo ubaridi unao vuma, katika siku ya ukorofi wa daima,