Surat Al-Qadr, aya 1

97:1

إِنَّآ أَنزَلۡنَٰهُ فِي لَيۡلَةِ ٱلۡقَدۡرِ ١

Innā anzalnāhu fī laylatil-qadr

Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika Laylatul Qadri, Usiku wa Cheo Kitukufu. 1

Maelezo ya chini

1 Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani katika usiku wa Cheo na Utukufu.