Surat Al-Mutaffifin, aya 34

83:34

فَٱلۡيَوۡمَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ مِنَ ٱلۡكُفَّارِ يَضۡحَكُونَ ٣٤

Fal-yawmal-ladhīna āmanū minal-kuffāri yadhakūn

Basi leo walio amini ndio watawacheka makafiri, 34

Maelezo ya chini

34 Basi Siku ya Malipo walio amini watakuwa ndio wa kuwacheka hao makafiri kwa kuwalipizia kile kicheko chao na kejeli yao ya duniani.