عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ يَنظُرُونَ ٣٥
'Alal-arā'iki yanzurūn
Nao wako juu ya viti vya enzi wakiangalia. 35
Maelezo ya chini
35 Ilhali wako juu ya vitanda na matakia watakuwa Waumini wakiziangalia neema za Mwenyezi Mungu alizo wapa.