وَمَآ أُرۡسِلُواْ عَلَيۡهِمۡ حَٰفِظِينَ ٣٣
Wamā ursilū 'alayhim hāfizīn
Na wao hawakutumwa wawe walinzi juu yao. 33
Maelezo ya chini
33 Wala hao wakosefu hawakutumwa wawe wa kuwahukumu Waumini kwa kuwaongoza au kuwapoteza, wala kuwa ni walinzi wa vitendo vyao.