Surat Al-Mutaffifin, aya 28

83:28

عَيۡنٗا يَشۡرَبُ بِهَا ٱلۡمُقَرَّبُونَ ٢٨

'Aynan yashrabu bihal-muqarrabūn

Chemchem watakayo inywa walio kurubishwa. 28

Maelezo ya chini

28 Nayo ni chemchem wanao inywa walio kurubishwa si wengineo, katika watu wa Peponi.