Surat Al-Mursalat, aya 48

77:48

وَإِذَا قِيلَ لَهُمُ ٱرۡكَعُواْ لَا يَرۡكَعُونَ ٤٨

Wa idhā qīla lahumurka'ū lā yarka'ūn

Na wakiambiwa: Inameni! Hawainami. 48

Maelezo ya chini

48 Na wakiambiwa: Swalini kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na mnyenyekeeni Yeye, hawanyenyekei wala hawaswali; bali hushikilia kiburi chao!