Surat Al-Mu'minun, aya 96

23:96

ٱدۡفَعۡ بِٱلَّتِي هِيَ أَحۡسَنُ ٱلسَّيِّئَةَۚ نَحۡنُ أَعۡلَمُ بِمَا يَصِفُونَ ٩٦

Idfa' billatī hiya ahsanus-sayyi'ata nahnu a'lamu bimā yasifūn

Kinga maovu kwa kutenda yaliyo mema zaidi. Sisi tunajua wayasemayo. 96

Maelezo ya chini

96 Wewe endelea na wito wako, na ukabili uovu wao kwa vitendo vilivyo vizuri kama kusamehe au vyenginevyo. Na Sisi tunajua vyema wanakutaja vipi wewe, na wanavyo usema kwa ubaya huo wito wako kwa uwovu na uzushi. Na Sisi tutawalipa kwa hayo.