وَإِنَّا عَلَىٰٓ أَن نُّرِيَكَ مَا نَعِدُهُمۡ لَقَٰدِرُونَ ٩٥
Wa innā 'alā an nuriyaka mā na'iduhum laqādirūn
Na hakika Sisi ni waweza wa kukuonyeshsa tuliyo waahidi. 95
Maelezo ya chini
95 Na Sisi tunaweza kwa utimilivu kukuonyesha adhabu tulio waahidi ikiwateremkia. Basi wewe tuwa ujue kuwa tutashinda.