Surat Al-Mu'minun, aya 97

23:97

وَقُل رَّبِّ أَعُوذُ بِكَ مِنۡ هَمَزَٰتِ ٱلشَّيَٰطِينِ ٩٧

Waqur rabbi a'ūdhu bika min hamazātish-shayātīn

Na sema: Mola wangu Mlezi! Najikinga kwako na wasiwasi wa mashet'ani. 97

Maelezo ya chini

97 Nawe sema: Ewe Mola Mlezi! Najilinda kwako na wasiwasi wa mashetani wasiniingilie katika nafsi yangu kwa vitendo visio kupendeza.