مُسۡتَكۡبِرِينَ بِهِۦ سَٰمِرٗا تَهۡجُرُونَ ٦٧
Mustakbirīna bihī sāmiran tahjurūn
Na huku mkitakabari na usiku mkiizungumza (Qur'ani) kwa dharau. 67
Maelezo ya chini
67 Na nyinyi katika mapuuza yenu mlikuwa mnatakabari na mnafanyia maskhara, mkiutaja huu Wahyi kwa sifa mbaya mnapo kutana katika taanusi zenu za usiku.