Surat Al-Mu'minun, aya 68

23:68

أَفَلَمۡ يَدَّبَّرُواْ ٱلۡقَوۡلَ أَمۡ جَآءَهُم مَّا لَمۡ يَأۡتِ ءَابَآءَهُمُ ٱلۡأَوَّلِينَ ٦٨

Afalam yaddabbarul-qawla am jā'ahum mā lam ya'ti ābā'ahumul-awwalīn

Je, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao wa zamani? 68

Maelezo ya chini

68 Je! Hawa wenye kupuuza wamekuwa wajinga hata hawakuizingatia Qur'ani wakaijua kwamba hii hakika ni Haki? Au huu wito wa Muhammad kwao umekuwa ni namna mbali kuliko walio kuja nayo Mitume wengine kwa kaumu zilizo kwisha tangulia walio ambao baba zao waliwawahi?