Surat Al-Mu'minun, aya 56

23:56

نُسَارِعُ لَهُمۡ فِي ٱلۡخَيۡرَٰتِۚ بَل لَّا يَشۡعُرُونَ ٥٦

Nusāri'u lahum fil-khayrāti bal lā yash'urūn

Ndio tunawahimizia kheri? Lakini wenyewe hawatambui. 56

Maelezo ya chini

56 Ndio basi Sisi tumekuwa radhi nao, na kheri zikawamiminikia mbio mbio na kwa wingi? Hao ni kama wanyama, hawatambui, kwa kuwa hawazitumii akili zao. Mimi si radhi nao. Na hizi neema ni kuwapururia tu, kuwapa muda.