إِنَّ ٱلَّذِينَ هُم مِّنۡ خَشۡيَةِ رَبِّهِم مُّشۡفِقُونَ ٥٧
Innal-ladhīna hum min khashyati rabbihim mushfiqūn
Kwa hakika hao ambao kwa kumwogopa Mola wao Mlezi wananyenyekea, 57
Maelezo ya chini
57 Hakika wale ambao humkhofu Mwenyezi Mungu na humwogopa, na zimejaa ndani yao khofu ya Mwenyewe Subhanahu,