Surat Al-Mu'minun, aya 55

23:55

أَيَحۡسَبُونَ أَنَّمَا نُمِدُّهُم بِهِۦ مِن مَّالٖ وَبَنِينَ ٥٥

Ayahsabūna annamā numidduhum bihī mim mālin wabanīn

Je! Wanadhani ya kuwa kwa vile tunavyo wapa mali na watoto 55

Maelezo ya chini

55 Hivyo hawa maasi wanadhani ya kwamba pale Sisi tunapo wawacha wakistarehe na mali na watoto tulio wapa