Surat Al-Inshiqaq, aya 24

84:24

فَبَشِّرۡهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ ٢٤

Fabasshirhum bi'adhābin alīm

Basi wabashirie adhabu chungu! 24

Maelezo ya chini

24 Basi wabashirie, kwa kejeli, kuwa watapata adhabu ya kutia uchungu.