Surat Al-Inshiqaq, aya 25

84:25

إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونِۭ ٢٥

Illal-ladhīna āmanū wa'amilus-sālihāti lahum ajrun ghayru mamnūn

Isipo kuwa wale walio amini na wakatenda mema; hao watakuwa na ujira usio malizika. 25

Maelezo ya chini

25 Lakini walio amini na wakatenda mema watapata, kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ujira usio wakatikia na wala usio kuwa na hisabu juu yao.