Surat Al-Inshiqaq, aya 23

84:23

وَٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا يُوعُونَ ٢٣

Wallāhu a'lamu bimā yū'ūn

Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria. 23

Maelezo ya chini

23 Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kabisa hayo wanayo yadhamiria katika nyoyo zao.