بَلَىٰٓۚ إِنَّ رَبَّهُۥ كَانَ بِهِۦ بَصِيرٗا ١٥
Balā inna rabbahū kāna bihī basīrā
Kwani? Hakika Mola wake Mlezi alikuwa akimwona! 15
Maelezo ya chini
15 Bali atarejea, na atahisabiwa! Kwani Mola wake Mlezi alikuwa anamwona vyema yeye na vitendo vyake.