Surat Al-Inshiqaq, aya 14

84:14

إِنَّهُۥ ظَنَّ أَن لَّن يَحُورَ ١٤

Innahū zanna al lan yahūr

Huyo hakika alidhani kuwa hatarejea tena. 14

Maelezo ya chini

14 Hakika huyo alidhani kuwa kabisa hatorejea kwa Mwenyezi Mungu akamhisabu.