إِنَّهُۥ كَانَ فِيٓ أَهۡلِهِۦ مَسۡرُورًا ١٣
Innahū kāna fī ahlihī masrūrā
Hakika alikuwa furahani kati ya jamaa zake. 13
Maelezo ya chini
13 Kwani huyo hakika duniani alikuwa furahani kati ya jamaa zake akitanaamu na pumbao alilo kuwa nalo hata akapuuza a'mali ya kuitenda kwa mustakabali wake.