وَيُطَافُ عَلَيۡهِم بِـَٔانِيَةٖ مِّن فِضَّةٖ وَأَكۡوَابٖ كَانَتۡ قَوَارِيرَا۠ ١٥
Wayutāfu 'alayhim bi'āniyatim min fiddatin wa akwābin kānat qawārīraā
Na watapitishiwa vyombo vya fedha na vikombe vya vigae, 15
Maelezo ya chini
15 Na wakiwazungukia watumishi wao kwa bilauri za kunywea zilio fanywa kwa fedha, lakini unaona kiliomo ndani kama kwamba ni kigae,