وَدَانِيَةً عَلَيۡهِمۡ ظِلَٰلُهَا وَذُلِّلَتۡ قُطُوفُهَا تَذۡلِيلٗا ١٤
Wadāniyatan 'alayhim zilāluhā wadhullilat qutūfuhā tadhlīlā
Na vivuli vyake vitakuwa karibu yao, na mashada ya matunda yataning'inia mpaka chini. 14
Maelezo ya chini
14 Na Pepo ambayo vivuli vya miti yake vimeenea kote kote, na matunda yake mepesi kuyachuma.