Surat Al-Hijr, aya 76

15:76

وَإِنَّهَا لَبِسَبِيلٖ مُّقِيمٍ ٧٦

Wa innahā labisabīlim muqīm

Na miji hii ipo kwenye njia inayo pitiwa. 76

Maelezo ya chini

76 Na mabaki ya mji huu yapo yamesalia. Nayo yapo njiani katika njia inayo pitiwa na watu. Anaye taka kuwaidhika kwayo anaweza kuwaidhika.